2 Chronicles 3:3

3 aMsingi aliouweka Solomoni kwa ajili ya kulijenga Hekalu la Mungu ulikuwa urefu wa dhiraa sitini
Dhiraa 60 ni sawa na mita 27.
na upana dhiraa ishirini.
Dhiraa 20 ni sawa na mita 9.
Copyright information for SwhNEN